Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
[emoji848]Nokia sihami.
4.5" display, 2GB RAM
Ndiyo ilikuwa flagship ya Nokia 2013,sasa hivi simu ya inch 6 tu inaonekana ndogo sana
Simu za leo zipo vizuri sana kutoa vizuri sura za watu aka beutify, ila ukizipeleka kwenye hali za hewa mbalimbali ama mazingira magumu magumu ambayo AI haifanyi kazi zinafeli vibaya mno.Nokia Lumia 1020 iliushangaza ulimwengu pale walipotoa simu Kali sana yenye MP41. Hiyo ilikuwaje Ni 2011 karibu miaka 10 iliyopita.
Camera ya Nokia Lumia 1020 ilikuwa kiboko na matata Sana, na ilitumia lens moja, tofauti na leo ambapo tunaona ili simu iwe na camera Kali Basi watalundika rundo la ma camera.
Heahima sana kwenu Nokia.
View attachment 1630669
sawa sawa mkuu wangu
Nimecompare lumia 1020 na Samsung A41 yenye kioo 6.1" utofauti A41 ni ndefu ila ni nyembamba zaidi utofauti ni mdogo.
Nimeangalia pia na iphone 12 mini yenye 5.4" ni kama zinafanana.
Hivyo mkuu 6" kwa bezel za leo bado ni simu compact sana.
Duh!!Mkuu mbona hayo maparachichi ni maparachichi mawili tofauti kabisa?!Is this real kwamba ni parachichi moja?!Simu za leo zipo vizuri sana kutoa vizuri sura za watu aka beutify, ila ukizipeleka kwenye hali za hewa mbalimbali ama mazingira magumu magumu ambayo AI haifanyi kazi zinafeli vibaya mno.
Nokia 808 vs s20 ultra
Nokia 808 vs iphone 11
Ndio Hapo Artifical intelligence imefeli, siku hizi software inatumika zaidi,Duh!!Mkuu mbona hayo maparachichi ni maparachichi mawili tofauti kabisa?!Is this real kwamba ni parachichi moja?!
Hao ni HMD mkuu, jamaa wamekuwa vibaraka wa Google tu, anachotaka Google na wao wanafanya, even feature phone siku hizi ni kai os.nokia alikuwa mwalimu mwema sana kwenye huu ulimwengu,nimetumia nokia asha 201,ilikuwa inapiga picha 2mp zake,ukizoom detail hazipotei kizembe.
ila toka wahamie android naona wameungana na matapeli wengine kutafuta hela kitapeli.
Huawei flagship zao ni kisanga kwenye haya mamboHaya sasa wale mnaotaka kujua camera kali tembelea hapa mtanipa majibu https://www.google.com/url?q=https:...FjADegQIBxAB&usg=AOvVaw09i7PLA0hTE5dAQ2kt306k
Shikamoo Nokia[emoji848]View attachment 1630722