ubora wa cheti cha ACCA?

ubora wa cheti cha ACCA?

chilubi

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
8,188
Reaction score
6,244
Ndugu wana JF, naomba mnieleweshe kuhusu ubora wa cheti cha ACCA, na masomo yako vipi na duration yake, vilevile ni wapi wanatoa iyo course wakiwa na walimu wazuri. Nimesikia Financial Training Centre wanasomesha but siiamini ile colleg naona wahindi kibao tu. Naomba munambie ubora wake katika kutamvulika hapa tanzania kwa serikali na private employers, vilevile ningependa kujua kama mtu akimaliza hiyo course ya ACCA anaweza kuendelea na masters au vp?
 
Back
Top Bottom