Siyo CPA za chupi!Embu fikiria,kijana amemaliza chuo ,akajiandikisha kufanya mitihani wakati anaendelea kutafuta kazi.Kabla hajapata kazi,tayari amepata CPA.Je unafikiria huyu ataweza kufanya hizo kazi za kufunga vitabu?Ndiyo maana hata chombo chao NBAA kinasema ukipata CPA basi ufanye kazi miaka 3 chini ya mtu ili kukutrain kivitendo zaidi maan nadhari tayari anakuwa nayo.
No place like udsm,bcom-accounting ya hapa imetulia sana,ikifuatiwa kwa mbali sana na vyuo kama IAA na mzumbe.
usidanganye watu Ud hamna kitu hapoNo place like udsm,bcom-accounting ya hapa imetulia sana,ikifuatiwa kwa mbali sana na vyuo kama IAA na mzumbe.
usidanganye watu Ud hamna kitu hapo
nlitarajia ntakukuta hapa......ila fainali kitaa...udsm utaiacha ulivyoikuta...komaa achana na visifa vya kijinga.....nenda NBAA wakakupe data mkuu.
mwambie huyoo mtoto udsm inamchanganya sananlitarajia ntakukuta hapa......ila fainali kitaa...udsm utaiacha ulivyoikuta...komaa achana na visifa vya kijinga.....
No place like udsm,bcom-accounting ya hapa imetulia sana,ikifuatiwa kwa mbali sana na vyuo kama IAA na mzumbe.
Nimekaa kimya naona sasa ni wakati wangu wa kufunguka,naanza kuuliza wale wa udsm,mzumbe,nk ni course gan vyuo vyenu vinafundisha ambazo hazipo vyuo vingine? Nichukulie chuo bora kwa uhasibu tz muccobs,je udsm,mzumbe mnafikiri unaweza kucompete na hawa watu? Je unatambua thamani ya uhasibu wao tz,east africa na southern sahara desert? Je unajua shule iliyopo pale na course wanazosoma? Je unajua pass mark zao? Je unatambua thamani yao NBAA? Fanya utafiti usije kukurupa kujibu kama mwendawazimu then mwenyewe utanambia,
Nawe unajiproud bure MUCCOBS ni sawa tu na IAA,TIA AU CBE, Mbaya zaidi hamnatakwimu za kudhihrisha ubora wa vyuo vyenu.Kwa Takwimu za NBAA kwa miaka mingi ni UDSM yenye kuongoza kutoa wahansibu wa CPA kwa ubora na idadi ya kila mwaka.Mzumbe inazidiwa na IFM kwa wanafunzi wenye uwezo wa kutnukiwa CPA.Na kizuri zaidi mitihani na course za vyuo vyote vyenye kutoa shahada ya uhasibu inaratibiwa na NBAA isipokuwa UDSM pekee ambao mitihani ya na kozi za B.COM haipelekwi NBAA kwa ajili ya kuwa modulated.UDSM ni kitu kingine kwa maelezo zaidi wasiliana na Pius Maneno -nbaa director au pitieni report za nbaa examination results za kila mwaka.Nimekaa kimya naona sasa ni wakati wangu wa kufunguka,naanza kuuliza wale wa udsm,mzumbe,nk ni course gan vyuo vyenu vinafundisha ambazo hazipo vyuo vingine? Nichukulie chuo bora kwa uhasibu tz muccobs,je udsm,mzumbe mnafikiri unaweza kucompete na hawa watu? Je unatambua thamani ya uhasibu wao tz,east africa na southern sahara desert? Je unajua shule iliyopo pale na course wanazosoma? Je unajua pass mark zao? Je unatambua thamani yao NBAA? Fanya utafiti usije kukurupa kujibu kama mwendawazimu then mwenyewe utanambia,
Nawe unajiproud bure MUCCOBS ni sawa tu na IAA,TIA AU CBE, Mbaya zaidi hamnatakwimu za kudhihrisha ubora wa vyuo vyenu.Kwa Takwimu za NBAA kwa miaka mingi ni UDSM yenye kuongoza kutoa wahansibu wa CPA kwa ubora na idadi ya kila mwaka.Mzumbe inazidiwa na IFM kwa wanafunzi wenye uwezo wa kutnukiwa CPA.Na kizuri zaidi mitihani na course za vyuo vyote vyenye kutoa shahada ya uhasibu inaratibiwa na NBAA isipokuwa UDSM pekee ambao mitihani ya na kozi za B.COM haipelekwi NBAA kwa ajili ya kuwa modulated.UDSM ni kitu kingine kwa maelezo zaidi wasiliana na Pius Maneno -nbaa director au pitieni report za nbaa examination results za kila mwaka.
toa upuuzi hapa,muccobs nacho ni chuo cha kukilinganisha na mzumbe,ud au hata IAA?
Nawe unajiproud bure MUCCOBS ni sawa tu na IAA,TIA AU CBE, Mbaya zaidi hamnatakwimu za kudhihrisha ubora wa vyuo vyenu.Kwa Takwimu za NBAA kwa miaka mingi ni UDSM yenye kuongoza kutoa wahansibu wa CPA kwa ubora na idadi ya kila mwaka.Mzumbe inazidiwa na IFM kwa wanafunzi wenye uwezo wa kutnukiwa CPA.Na kizuri zaidi mitihani na course za vyuo vyote vyenye kutoa shahada ya uhasibu inaratibiwa na NBAA isipokuwa UDSM pekee ambao mitihani ya na kozi za B.COM haipelekwi NBAA kwa ajili ya kuwa modulated.UDSM ni kitu kingine kwa maelezo zaidi wasiliana na Pius Maneno -nbaa director au pitieni report za nbaa examination results za kila mwaka.
sikia unajua muccobs vijana wengi wa a/c hawakai mtaani kabisa,then ukija kwenye issue ya nbaa angalia rate ya wanafunzi wa kila chuo na wanaopata kati yao,udsm CPA wanafanya 100 wanafaulu 15,muccobs wanafanya 25 wanafaulu 10,sasa kipi bora kati ya hivyo viwili? Angalia majority fails iko wapi.
hata mm wa TIA nitasema mimi ni bora, n nani atasemea mwenzake wakati ujamfanyia job approisal?.....mtoa uzi huu ni mzandiki tu,, ana lolote la maana kuliza?