Kwanza unataka kufanya Masters ya nini? ninavyojua mimi kama ni MBA waalimu wanaofundisha karibia wote ni wa UDSM,kuna LLM in IT and Telecom inatolewa na Chuo cha UK na waalimu wao huwa wanakuja kufundisha,otherwise Open in wataalamu walio bobea wengi tu na nikama extension ya chuo kikuu cha Dar. najaribu kukupa mwanga na kukuondoa wasiwasi na pia kumbuka kuingia open university ni rahisi kuliko kutoka