maswimanga
Senior Member
- Apr 15, 2013
- 159
- 26
Hata kama serikali ikibadlisha sera za elimu kila saa ,kama hawatakubali kuwa mwalimu ni mtu muhimu na anastahili mazingira bora na maslahi bora ,tutaendelea kujiuliza maswali mengi kwa nini elimu yetu haina ubora na majengo yapo?