M maswimanga Senior Member Joined Apr 15, 2013 Posts 159 Reaction score 26 May 30, 2013 #1 Hata kama serikali ikibadlisha sera za elimu kila saa ,kama hawatakubali kuwa mwalimu ni mtu muhimu na anastahili mazingira bora na maslahi bora ,tutaendelea kujiuliza maswali mengi kwa nini elimu yetu haina ubora na majengo yapo?
Hata kama serikali ikibadlisha sera za elimu kila saa ,kama hawatakubali kuwa mwalimu ni mtu muhimu na anastahili mazingira bora na maslahi bora ,tutaendelea kujiuliza maswali mengi kwa nini elimu yetu haina ubora na majengo yapo?