Ubora wa elimu ya chuo kikuu SMMUCO

mhalisi

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
1,181
Reaction score
322
ndugu zangu kwa wanaokifahamu vizuri chuo kikuu kishiriki cha SMMUCO kilichopo Moshi ninaomba wanifahamishe ubora wa elimu inayotolewa na chuo hiki.
 
Vyuo vyote ni bora na vina vigezo na ndo maana vikaithinishwa na tcu. We omba Mungu upate chuo na Mkopo mambo mengine Mungu atafanya.
 
ndugu zangu kwa wanaokifahamu vizuri chuo kikuu kishiriki cha SMMUCO kilichopo Moshi ninaomba wanifahamishe ubora wa elimu inayotolewa na chuo hiki.

ukitaka kujua ubora wa chuo hapa jf, utaambulia MAJINGAMBO, UPONDAJI na UTETEAJI tu! Wadau wa chuo hicho watajitetea hata kama kiko vibaya na wadau wa vyuo flani watakiponda na kujigamba hata kama kiko vizuri.
Kama unataka majibu sahihi, basi kawaulize waajiri kulingana na kozi yako!
 
yote kwa yote lakin smmuco hapana labda ten years ago ndo labda kinawrza improve ndugu
 
Hahahahahaha!ten years ago.usijilazimishe kutumia lugha za watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…