Habari wakuu,
Husika na kichwa cha habari hapo juu, naomba kujua undani wa nissan civilian bus, maana nihitaji kwa matumizi ya biashara either ya daladala au kukodi, nimekuwa nikisikia habari nyingi kuhusu magari haya, ya kuwa sio mazuri, hivo naomba ushauri .