GEBA2013
JF-Expert Member
- Feb 22, 2014
- 4,880
- 6,047
Nilienda kununua mbolea ya ruzuku nikakutana na hi mbolea ya fomi otesha.sikuwahi kutumia na taget yangu ilikuwa dap na nimeikosa,ikabidi nichukue fomi otesha. hi mbolea kwnye mfuko wake imeandikwa 4natengnezwa dodoma kwa wale ambao mmebahatika kuchukua na kutumia vp ubora wake ukoje?nawakaribisha kwa mchango wenu