Ubora wa Pitch Benjamin Mkapa

Ubora wa Pitch Benjamin Mkapa

Jamaa umewaza kama mm nimeshangaa uwanja mbovu watu wanateleza aisee
Yani hakuna raha na ladha ya mpira kabisa yani. Usasa tunauzungumzia kichwani tuu reality bado inatuhukumu.
 
Jamani jamani pamoja na mahela yote tunasikia yakitangazwa uwanja kufanyiwa maboresho ni sawa na hamna kitu ya ile pitch pakinyesha mvua tuu maji yanatuama uwanja matope na kuteleza tunaweka afya za watu lehani kimzaha mzaha tuu.
Kazi ya mzee mpili leo imelipa..mzee wa ovyo yule.!
 
Sijajua uwanja wetu unalekebishwa sehemu gani. ndugu zetu Uganda wamefanya kweli kwa uwanja wao mkubwa na wanajenga mwingine kwa speed 🚄 ya SGR.
 
Wameuza baadhi ya vitu uwanjani ndio maana uwanja upo mweupe sana na hauna mvuto hata kwa mbali
 
Eneo la kuchezea limepoteza ubora kwa kushindwa kuhimili mvua ya muda mchache.
Apa Kuna jambo halipo sawa, labda kama eneo la kuchezea Bado alijafanyiwa ukarabati.
Tusipo angalia, tunakwenda kupoteza eneo muhimu Kwa mpira wa miguu kuchezwa kama Taifa.
 
siku hizi hali ngumu inyeshe mvua, lipige jua mnyama anakufa tu
 
Jamani jamani pamoja na mahela yote tunasikia yakitangazwa uwanja kufanyiwa maboresho ni sawa na hamna kitu ya ile pitch pakinyesha mvua tuu maji yanatuama uwanja matope na kuteleza tunaweka afya za watu lehani kimzaha mzaha tuu.
Kapombe Leo ameurunda na viatu vyake vyenye srubu.
 
Back
Top Bottom