Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si ungesema tu umekuja kufanyia promo bidhaa zenu.Ni cement inayonishangaza kidogo; ukiwa unaitumia mfano kama mchanga ni mweupe basi ukitumia mchanga unakuwa mweusi na ukitia maji unakua kama una mafuta au oil ivi, yani ipo tofauti na cement nyingine. Tumia Twiga au Simba utaona utofauti.
Bei ikojeKwa sasa cement bora ni HUAXIN tu ya wachina.