Ubora wa saruji ya Nyati

mtungu

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2021
Posts
270
Reaction score
435
Ni cement inayonishangaza kidogo; ukiwa unaitumia mfano kama mchanga ni mweupe basi ukitumia mchanga unakuwa mweusi na ukitia maji unakua kama una mafuta au oil ivi, yani ipo tofauti na cement nyingine. Tumia Twiga au Simba utaona utofauti.
 
Kwa sasa cement bora ni HUAXIN tu ya wachina.
 
Ni cement inayonishangaza kidogo; ukiwa unaitumia mfano kama mchanga ni mweupe basi ukitumia mchanga unakuwa mweusi na ukitia maji unakua kama una mafuta au oil ivi, yani ipo tofauti na cement nyingine. Tumia Twiga au Simba utaona utofauti.
Si ungesema tu umekuja kufanyia promo bidhaa zenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…