Ubora wa shahawa

da viper

Senior Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
158
Reaction score
43
Nitajuaje kama nina mbegu bora za kutungisha mimba? Au niende kitengo gani katk hospitali kupima? Nina was was sana?[emoji52]
 
Sio hivo,nataka kuwa na uhakika tu maana sioni matokeo chanya ya mechi zangu
 
Ha ha haaaa nshajaribu,akapata complications za mimba changa hiv then ikawa holla na akaishia kutokwa na damu hv wakat alikuwa na dalili zote za kushika mimba
 
Kwanini una wasiwasi? je umeoa? una umri gani? kama umeoa una muda gani ndani ya ndoa? je umefanikiwa kupata mtoto? kua specific ili usaidiwe na wataalamu wa hapa.
Bado cjaoa miaka 27 hv
 
Unazungumzia was was wako ktk sperm count... But ucjal cha kufanya... Kula vizur.. Jibalance kwa muda wa hata wiki tatu usifanye mapenz au punyeto.. Fanya mazoez.. Pumzika..

Cha pili

Jua calendar ya mwenzi wako unayetaka umtie mimba.. Cheza na danger days.. Usikute unafany nae mapenz cku ambz ni safe.. Hapo huwez kumpa mimba kbs.. Vizia cku za hatar chapa mzigo..
Nitajuaje kama nina mbegu bora za kutungisha mimba? Au niende kitengo gani katk hospitali kupima? Nina was was sana?[emoji52]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…