Ubora wa shahawa

Nitajuaje kama nina mbegu bora za kutungisha mimba? Au niende kitengo gani katk hospitali kupima? Nina was was sana?[emoji52]
Njia ya kiasil

Weka maji katika besen zen piga nyeto zile shahawa zimwage katika yale maji ya besen ikitokea zimezama bass jua fikra shahawa zako zinauwezo wa kumpa mwanamke mimba ila zikiwa zinaelea bass jua ndio ivyo tena

Sio lazma besen hata ndoo ila iwe na maji
 
Wooow nilikuwa siijui hii asante sana
 
acha kumdanganya mwenzako mkuu[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…