Ubora wa Simba unaonekana kwa St. George kuwa wabovu

Tangu lini Waethiopia wakajajua mpira,wao ni riadha tu
 
Naangali hii mechi, nauona ubora wa Simba unatokana na hawa waithiopia kuwa wabovu.

Timu inatembelea jina tu siyo bora kama ile tunayoifahamu.

Simba ni ileile iyopita haina jipya
Nipo nawaangalia waliokwenda misri kuweka kambi,,simba wanayo safari ndefu kwa hii timu yao,,majibu watayapata jumamosi kama wako bora ama laah, acha waendelee kujidanganya kwa mpira huu ninaouona wanacheza wacha tusubili
 
Unahasira na Vipers heeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…