MWANDENDEULE
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 4,099
- 7,466
Ndugu wataalamu na wazoefu wa magari hususan Subaru Exiga toleo la 2010 naomba kufahamu ubora, uimara na changamoto za gari hii katika suala zima la maintenance, ulaji wa mafuta na vitu vingine kama vipo. Gari hii ni ile yenye 1990cc engine.
Upatikanaji wa spea zake na mafundi wanaoziwezea hapa Tanzania.
Kwa mwonekano na idadi yake ya siti (7) imekonga moyo wangu ukizingatia ukubwa wa familia zetu za kigogo nikaona hii inaweza nifaa sana kubeba familia nzima na kwenda kula bata.