Ubora wa subaru Exiga

MWANDENDEULE

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2015
Posts
4,099
Reaction score
7,466
Ndugu wataalamu na wazoefu wa magari hususan Subaru Exiga toleo la 2010 naomba kufahamu ubora, uimara na changamoto za gari hii katika suala zima la maintenance, ulaji wa mafuta na vitu vingine kama vipo. Gari hii ni ile yenye 1990cc engine.
Upatikanaji wa spea zake na mafundi wanaoziwezea hapa Tanzania.

Kwa mwonekano na idadi yake ya siti (7) imekonga moyo wangu ukizingatia ukubwa wa familia zetu za kigogo nikaona hii inaweza nifaa sana kubeba familia nzima na kwenda kula bata.


 
Bei full inacheza ngap mkuu
 
Gari zuri sana ndani we nunua tu
 
Family car. Ni hayo tu kwa Leo.
 
Imekaa unono
 
MWANDENDEULE mdau vipi, ulifanikiwa kununua hii? If so, tafadhari shea experience. Ipoje in terms of ulaji wa mafuta, performance barabarani na maintenance?
 
Nafikiri inategemea ni ya mwaka gani na Imetembea km ngp
Umeshaambiwa ni model ya 2010. Kilichabaki ni milage na unaagiza kupitia kampuni ipi. Iwapo ni kampuni ya Be Forward bei huenda ikawa chini kidogo kwani wao huuza gari kama waivyoinunua. Hawaifanyii marekebisho yeyote. Lakini ikiwa ni Autorec bei huenda ikapanda kwani wanaifanyia maboresho kabla ya kuiuza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…