No_Worries
Member
- Sep 27, 2016
- 69
- 23
Sina uzoefu nayo, lakini nakushauri tumia tank ambazo zinaaminika zaidi na watu wengi, bei huwa zinapishana kidogo lakini pia moja ya sababu za kupishana kwa bei ni ubora...Wakuu,
Mwenye uzoefu na hizi Tritank (zinatengenezwa Arusha) za kuhifadhia maji tafadhali nijuze naona bei yake ipo chini kidogo ya Polytank na Simtank (za Dar).
Shukrani kwa ushirikiano katika kuokoa pesa
No_Worries!
View attachment 503723
Mkuu hizi tank hazina tatizo, tofauti ya bei hutegemea na imezalishwa wapi, mfano mtu atakayenunua polytank mbezi beach dar bei haitalingana na Arusha kwani wata add transport cost.Wakuu,
Mwenye uzoefu na hizi Tritank (zinatengenezwa Arusha) za kuhifadhia maji tafadhali nijuze naona bei yake ipo chini kidogo ya Polytank na Simtank (za Dar).
Shukrani kwa ushirikiano katika kuokoa pesa
No_Worries!
View attachment 503723
Mkuu, tofauti ya bei kati ya Simtank na Tritank ni kubwa sana. Issue ni kuwa hawa Tritank hawapo sokoni muda mrefu na kuna maelezo yasiyo rasmi kuwa bei yao ndogo sababu wanatafuta soko na siyo kwamba bei yao ndogo inaashiria ubovu wa bidhaa zao.Sina uzoefu nayo, lakini nakushauri tumia tank ambazo zinaaminika zaidi na watu wengi, bei huwa zinapishana kidogo lakini pia moja ya sababu za kupishana kwa bei ni ubora...
Asante mkuu! Unajua cha ajabu ni kuwa kwa hapa Morogoro hizo Tritank bado zinauzwa bei rahisi pamoja na kutengenezwa Arusha. Simtank na polytank zinazotengenezwa Dar bei yake ipo juu sana. Kama Tritank zipo fresh basi hiyo ni habari njema.Mkuu hizi tank hazina tatizo, tofauti ya bei hutegemea na imezalishwa wapi, mfano mtu atakayenunua polytank mbezi beach dar bei haitalingana na Arusha kwani wata add transport cost.
Nimezitumia tritank hazina tatizo...watembelee londhia plastic njiro bei nafuu
Mkuu mimi ni mkandarasi, hivyo ninatumia sana tritank kuanzia lita 5,000 hadi 10,0000 kwa ajili ya water storage, ziko imara sana tu na ni muda mrefu sasa sija expirience udhaifu wowoteAsante mkuu! Unajua cha ajabu ni kuwa kwa hapa Morogoro hizo Tritank bado zinauzwa bei rahisi pamoja na kutengenezwa Arusha. Simtank na polytank zinazotengenezwa Dar bei yake ipo juu sana. Kama Tritank zipo fresh basi hiyo ni habari njema.
Cheers mkuu, nilikuwa nahitaji kupata firsthand experience kama yako!Mkuu mimi ni mkandarasi, hivyo ninatumia sana tritank kuanzia lita 5,000 hadi 10,0000 kwa ajili ya water storage, ziko imara sana tu na ni muda mrefu sasa sija expirience udhaifu wowote
Bei yake ni shilingi ngapi kwa lita 10000 na lita 5000??Cheers mkuu, nilikuwa nahitaji kupata firsthand experience kama yako!
Bei yake ni shilingi ngapi kwa lita 10000 na lita 5000??
Boss kwa Geita-katoro bei gani?Upo wapi mkuu? bei zinaweza kutofautiana.