Ubora wa urembo wako

Joined
Jul 11, 2016
Posts
30
Reaction score
39
Usipende kutumia make up zitakazo kualibu urembo wako badaye na acha ubaili kwa kununua make up fake kwa urembo wako utaumia

Na usipende kubandika kope bali tafuta mascara zitakazo kuza kope zako zipo ndugu yangu.

Kama kweli unapenda urembo wako jitoe kuugaramikia na kuchagua make up zilizo bora kwa urembo wako

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…