Size 13 mpya inaweza kucheza kwenys 70 mpaka 80 sasa nashangaa kuona huyu mungwana anataka kwenda kununua kwa 50 used.size 13 mpya bei ni rahisi sana, ni ajabu kuona bado kuna MTU anataka kununua used!
Mjini shule[emoji3][emoji3]Sku moja niliona aibu sana. Nilinunua used 4 zote nikafunga, bas nikawa nikiendesha naona kama gari inavuta stering upande, inantoa barabaran nikajua jamaa hawakufunga vzuri labda hawakubalance. Nikaenda kinondoni kufanya wheel alignment, ....jamaa kabla hajafanya chochote akaingiza mkono kwenye madguard kama anakagua kashata za tairi. Alipomaliza tairi zote akasema tairi zako zote zimeisha izo badili tairi gari haina tatzo.