Ubora wa viwanja Ligi kuu Tanzania

ikongoc

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2018
Posts
325
Reaction score
312
Kwa kweli nipende kulipongeza shilikisho la mpira wa miguu Tanzania kwa kushirikiana na Azam Media group
Viwanja kwa upande wa Tanzania bara [NBC PL] Vinarizisha kwa kiwango kikubwa ukilinganisha na ligi nyingine ni sahihi kabisa ligi yetu kuwa namba sita kwa ubora
Huu ni uwanja unaochezewa na ligi kuu kenya
Your browser is not able to display this video.
 
Umeona uwanja wa pale Tabora!?
Hakuna pongezi yoyote wanayostahili Kenya Wana viwanja vibovu na sisi tuna viwanja vibovu
Pitch sio kipaumbele tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…