Mr_Teacher
JF-Expert Member
- Feb 28, 2021
- 362
- 343
π π π π π π sawa Mkuu, ngoja tuoneHapa naona hoja ijadiliwe na magwiji
Asante Mkuu, je ni vizuri hivyo vyuo vyayo vyote vya binafsi ama hivi nlivyovitaja kina Cavendish University, International University of East Africa na Clarke University tu?Ni vyuo vizuri Sana, pia kwa Uganda ,wanakozi nyingi kwenye vyuo vyao ambazo zinaendana na matakwa ya ulimwengu wa sasa, graduate wapo competent.
Shukrani MkuuNgoja waje kukupa muongozo...