fabinyo
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 3,042
- 2,221
Wakuu bila shaka mpo salama. Siku hizi naona kuna hii biashara ya kuuza/kununua zege..
1. Hivi ubora wake huwa ukoje?Mteja unauhakiki vipi ubora kukidhi mahitajio yake maana linaletwa na gari tayari likiwa limetengezwa hukoooo...Tumezoea zamani,zege linakorogwa hapo hapo na unaona mchanganyiko kadiri ya hesabu za mhakiki viwango zilivyo.
2. Je mteja anajuaje ujazo (volumes)/kiasi anacholetwa ndio sahihi kwa gharama alizolinunua?Kiasi cha chini kununua ndio kipi?
3. Pia bei yake ikoje,yaani mnapatanaje na muuzaji?kama ni kwa sqm/vols,bei ndio zikoje?
4.Inapunguza gharama kwa mteja ukilinganisha na lilivyokuwa lina korogwa "on site".
5. Mnanofanya biashara hii,inawalipa?
Kama kuna maelezo ya ziada pia,tafadhali tunaomba wajuvi mtuelimishe,itufae.
Asante