Leo nimeshuhudia watu wengi maeneo ya kisarawe wakijiandikisha na kupata vitambulisho vya kupiga kura bila utambulisho wa awali wa kuhakiki utanzania wao. Kama namba ya NIDA au hata utambulisho toka serikali ya mtaa.
Wahusika ebu lindemi uhalali wa uchaguzi wetu maana ninkwa ajili ya watanzania tuuu tena wenye sifa.
Wahusika ebu lindemi uhalali wa uchaguzi wetu maana ninkwa ajili ya watanzania tuuu tena wenye sifa.