Miundombinu ni miongoni mwa sekta ya msingi ambayo serikali inahitaji kutazamia kwa ukaribu zaidi kutokana na mchango wake katika maendeleo ya nchi. Kwa muktadha huo ipo haja ya kufanyika maboresho na ujenzi wa miundombinu bora ili kusaidia ufanikishaji katika kuendea shughuli za uzalishaji. Takwimu zinaonesha kumekuwa na changamoto kwenye miundombinu mbalimbali Kama vile barabara, nishati ya umeme, mawasiliano n.k.,
Kutokana na masuala tofauti tofauti Kama vile adha ya mvua ambapo kwa namna moja ama nyingine imekuwa ni sababu ya wananchi au wanaojamii wanaoendea shughuli za uzalishalishaji kupata ugumu katika kuendea shughuli hizo kutokana na changamoto hiyo na pia athari haibaki kwa wanajamii bali na nchi pia, mfano mzuri ni mvua zilizokuwa zikinyesha miezi kadhaa au michache nyuma mwaka huu 2024 kiasi cha kupelekea huduma ya usafiri ya mabasi ya mwendokasi kukata ruti kutokana na changamoto ya barabara kuwa na maji mengi kiasi cha kushindwa kupita, hivyo kupelekea changamoto kwa wananchi kuweza kufika katika maeneo Yao ya ajira au shughuli za uzalishaji.
Ipo haja ya kufanyika maboresho kwa manufaa ya wananchi na nchi kiujumla. Pia maboresho ya miundombinu ya miundombinu yanatakiwa kufanyika kwa kuzingatia nyanja zote kutokana na upana wa sekta husika lakini pia itasaidia ongezeko la pato la nchi sababu uwepo wa miundombinu wezeshi inachangia utanukaji wa wigo wa shughuli za biashara na mvuto zaidi katika suala la uwekezaji kwa watu wa ndani na nje.
Mapendekezo
1. UFANYWAJI WA ZOEZI LA TATHMINI.
Uwepo wa utaratibu wa kufanya tathmini katika miundombinu ambayo ujenzi wake umekamilika au ulikuwepo juu ya hali ya hali ya uchavu mfano barabara, madaraja, itasaidia kupata kufahamu ikiwa kunauhitaji wa maboresho ili kuepukana adha ya uharibifu inayosababishwa na vitu kama mvua ambapo uharibifu huo umechagizwa na uchakavu.
2. MAREKEBISHO NA UJENZI WA MIUNDOMBINU BORA.
Kufanyika maboresho kwa miundombinu iliyokuwepo ili kuifanya kuwa imara zaidi na kusaidia ufanikishaji wa shughuli za uzalishaji. Maboresho katika miundombinu ni pamoja na mabadiliko ya vitu au ujenzi mpya wa miundombinu hiyo, mfano miundombinu ya usafirishaji kama vile barabara.
3. UTHIBITI UBORA WA MIUNDOMBINU BAADA YA UJENZI.
kufanya tathmini ya ubora wa ujenzi wa miundombinu iliyokamilika ni miongoni mwa mambo ambayo serikali inatakia kutazama kupitia chombo teule au tume ili kuweza kutambua ni kwa muda gani ujenzi huo utadumu na kuhitajia ukarabati au ujenzi mpya kwa namna bora zaidi, Pia itasaidia kuepusha na kupunguza ujenzi wa miundombinu isiyokuwa bora au viwango ambavyo ni tatizo kwa nchi.
4. MABORESHO YA SERA ZA UJENZI WA MIUNDOMBINU.
Kutokana na mabadiliko ya masuala tofauti tofauti na maendeleo ya sayansi na teknolojia, sera za ujenzi wa miundombinu zinatakiwa kufanyiwa maboresho ili kupata miundombinu bora na ya kudumu itakayokidhi matakwa ya wahitaji.
HITIMISHO
Miundombinu ni miongoni mwa sekta ambayo imekuwa na umuhimu katika kuchangia pato la nchi, Pongezi kwa serikali kutokana na jitihada inazofanya katika ujenzi wa miundombinu, japokuwa bado kunauhitaji wa ufanyikaji wa maboresho katika sekta hii ya miundombinu sababu bado kuna nafasi ya kunufaika zaidi kwa kupata pato zaidi kutoka katika hii. Maboresho yatatoa fursa zaidi kwa wawekezaji, wafanyabiashara, watalii kutokana na uwepo wa mazingira wezeshi ya hayo.

Upvote
2