MESI SAMSON BYALELO
New Member
- Jun 24, 2024
- 1
- 0
RUSHWA.
Serikali inatakiwa uzingatia yafutayo katika utengenezaji wa miundombinu, kuepuka rushwa, hiki ni kikwazo kikubwa, katika, maendeleo ya taifa, bajeti elekezi inayotolewa kwa ajili ya utengenezaji wa miundo mbinu serikali iakikishe pesa ifike sehemu usika na bila kupita mikononi mwa watu tofauti na wahusiki wa shughuli husika mfano, unafanyika ujenzi wa barabara basi malipo yawafikie wakandalasi, pasiwepo namna yoyote ya kufanya wafanyakazi kuiona kazi ngumu bila malipo kupelekea kutelekezwa Kwa kazi kusababisha ualibifu wa mda pesa na nguvu kazi.
KUEPUKA UMASIKINI
Umasikini , ni miongoni mwa madhara makubwa ndani ya nchi unaosababisha mmomonyoko wa maadili , ukosefu wa amani na utulivu na vifo visivyokua na idadi selikali ikisimamia hayo basi miundombinu haitakua na changamoto Tena
KUEPUKA VITA YA WENYEWE KWA WENYEWE
Hadhari kubwa katika vita ni vifo, Serikali ikisimamia vizuri sela na kushilikiana na wananchi ambao ndio wanaoiendesha nchi Kwa kodi zao, itafanikisha vyema swala la miundo mbinu Kwa kua maendeleo hayawezi kufanyika , kama nchi ikiwa katika migogoro inayopelekea vita.mfano udini, na ukabila.
UTOAJI WA ELIMU
Elimu inayotolewa mashuleni siyo ya vitendo, na pia si kila mwananchi amebahatika kuingia darasani, hivyo swala la miundo mbinu linaitaji elimu elekezi juu ya miundo mbinu husika , mfano wananchi wanafahami miundo mbinu ni barabara, viwanja vya ndege barabara za reli, ila elimu isemayo Mwalimi, wauuguzi, majengo ya uduma mbalimbali kama kahakama, hospitali, masoko na maneno ya maduka ni mojawapo ya miundo mbinu , ni wale tu walio enda shule, hivyo kufanikisha swala hili Serikali itatakiwa itoe elimu kupitia vyombo vya habari, wananchi wafahamu Kwa kina hii itasidia kutoa ushilikiano kuilinda pamoja na kuitunza.
UTOAJI WA AFYA BORA
Ili Serikali iweze kufaidi maendeleo inatakiwa kutoa afya bora ili kufikia malengo husika . Mfano Serikali imelenga kujenga majengo makubwa na malefiu, wote wanaotalajia kuusika katika ujenzi wanatakiwa wapimwe afya, uduma ya gari la wagonjwa iwepo, upatikaniji wa uduma ya kwanza, Kwa mantiki hiyo kama walioingia kazini hawana afya yaani shughuli si rafiki Kwa afya Yao na waliingia ili kazi ifanyike matokeo yake ni dharula, na shughuli kushidwa kukamilika Kwa wakati.
UTOAJI WA AJIRA KWA VIJANA
Hii itaisaidia Serikali kupunguza malalamiko ya wananchi na kuchochea maendeleo ya nchi, ajila isipokuepo vijana watatafuta mbadala wa ajila hiyo yaweza kua si makusudio ya Tanzania ijayo na nzuri ,hivyo kupelekea ualibifu na hasara zisizo epukika mfano kujiingiza katika madawa ya kulevya, ulevi wa pombe za kupindukia wizi na kupelekea nguvukazi kupotea
UWEPO WA SOKO NA BEI ELEKEZI KWA MKULIMA
Mazao ya biashara yanayolimwa nchini mfano katani,kahawa,chai ,pamba, korosho ,inatakiwa bei ijulikane yaani wakulima wakiwa katika msimu wa mavuno wafahamu bei, pia soko lisiwe la wachache yaani wanunuzi Kwa maana Serikali tu, mashilika mbalimbali ya ruhusiwe kununua hii itaisaidia mkulima kua na machaguo wapi auze na kujisikia ni mwenye haki katika mali aliyo izalisha, pia sehem itambulike yaani iwepo kwaajili ya mazao kupelekwa yaani magodauni ya kuuzia, Soko likiwa ulia inawafanya wakulima kuona kilimo cha maana sana nakuzidi kukichangamkia Kwa maana ya kupenda kuendeleza mazao, kwanjia hiyo nchi itafanikiwa kwa kiwango kikubwa katika uboreshaji wa miundombinu Kwa kua kutakua na utulivu eneo la Mkulima kwa kunufaika na bei elekezi na uwepo wa Soko la mazao yake.
KUIMALISHA ULINZI NA USALAMA
Tanzania ijayo unaitaji kuimalisha ulinzi kuanzia, vitongoji ,vijiji , kata, wilaya mikoa, yaani nchi nzima kwa ujumla, kwa maana wananchi wasiisababishie madhara Serikali, na Serikali kua makini katika utendaji ili isiwadhuru raia wake, vyombo vya ulinzi kusimamia vizuri mipaka, ili kuepuka wahamiaji kuingia kinyemela, kufanya hivyo itaisaidia uduma zilizopagwa kibajeti kulingana na hesabu iliyopo ya watu kutosheleza.
BAJETI
Tanzania nzuri na ijayo ili kufaulu kwenye kipengele Cha miundombinu , inatakiwa inapotenga malipo mbalimbali Kwa ajili ya wafanya kazi walio ajiliwa yaani watumishi, itenge pia malipo ya sekita mbalimbali, mfano sekita yakilimo mala nyingi imekua ikiwakopa wakulima, wakulima Wanavuna na kuuza hewa wanapokea maelekezo yakulipwa mda ambao ni mlefu bila kufanya makubaliono na pesa hufika ikiwa imechelewa ,maitaji yakiwa ni mengi, hivyo kushidwa kukidhi maitaji Kwa wakati, Serikali iweke mkakati vizuri kuepuka migogoro kati ya Serikali na watu wake.
USHILIKISHWAJI.
Tanzania ijayo inatakiwa kufanya shughuli Kwa kuwashilikisha wananchi hasa katika shughuli za miundombinu , baadhi ya maendeleo wananchi wanalazimika kuchangia yaani pamoja na hayo wanaishanga Serikali Yao, Kwa sababu wakati mwingine hawana hakika jambo lilipo anzia, mfano, wananchi hulazimika kulipia tozo kwene simu japo hawaitaji kulipa, hivyo basi Serikali isiwatake wananchi kutekeleza kile inachotaka bali wananchi wafanye kile kilichotokana na makubaliano.
MIKOPO
Tanzania itengeneze mfumo wa vibali kwa nia ya kuwakopesaba mda wafanyabiashara wanao anzisha biashara, kwakuwa wananchi wengi wamekua wakiona kulipakodi ni njia ya kunyanyaswa kulingana na malipo yanafanyika kabla hata biashara haijaanzishwa, yaani kiasi kinachotakiwa kutoka kabla ya biashara kuanza kina muangusha mfanya biashara, hivyo basi kibali kikiluhusu mtu aanze biashara kwa Malipo kidogo kutakana na kibali, basi hata ulipaji wa Kodi hautasumbua, ikizingatia mtaji wa mfanyabiashara si kutoka serikalini.
SIRAHA ZA MOTO
Tanzania ijayo inatakiwa kuacha kuchukua idadi kubwa ya watu wanaopewa elimu ya ulinzi wa kutumia siraha za moto, kama haijajipanga kuusu ajila hiyo. Kwa kuwa hakuna shughuli ya kujiajili kwa namna yoyote itakayo msaidia mtanzania baada ya mafunzo yatumiayo siraha za moto pale hasipo pata ajila. Hivyo idadi ya watu wanaoshiriki mafunzo yatumiayo silaha wanatakiwa kupata ajira iwezekanavyo, Kwa kuwa elimu Yao ni kushika silaha na kulinda usalama si vinginevyo, hikiwa njia hii haitachukuliwa hatua kimkakati basi nchi itazalisha kizazi ambacho kitakuwa hakina usalama .

Elimu inayotolewa mashuleni siyo ya vitendo, na pia si kila mwananchi amebahatika kuingia darasani , hivyo swala la miundo mbinu linaitaji elimu elekezi juu ya miundo mbinu husika , mfano wananchi wanafahami miundo mbinu ni barabara, viwanja vya ndege barabara za reli, ila elimu isemayo Mwalimi, wauuguzi,majengo ya uduma mbalimbali kama kahakama,hosipali,masoko na maneno ya maduka ni mojawapo ya miundo mbinu , ni wale tu walio enda shule , hivyo kufanikisha swala hili Serikali itatakiwa itoe elimu kupitia vyombo vya habari, wananchi wafahamu Kwa kina hii itasidia kutoa ushilikiano kuilinda pamoja na kuitunza.
UTOAJI WA AFYA BORA
Ili Serikali iweze kufaidi maendeleo inatakiwa kutoa afya bora ili kufikia malengo husika . Mfano Serikali imelenga kujenga majengo makubwa na malefiu ,wote wanaotalajia kuusika katika ujenzi wanatakiwa wapimwe afya, uduma ya gari la wagonjwa iwepo, upatikaniji wa uduma ya kwanza , Kwa mantiki hiyo kama walio ingia kazini hawana afya yaani shughuli si rafiki Kwa afya Yao na waliingia ili kazi ifanyike matokeo yake ni dharula, na shughuli kushidwa kukamilika Kwa wakati.
UTOAJI WA AJILA KWA VIJANA

Mazao ya biashara yanayolimwa nchini mfano katani,kahawa,chai ,pamba, korosho ,inatakiwa bei ijulikane yaani wakulima wakiwa katika msimu wa mavuno wafahamu bei , pia soko lisiwe la wachache yaani wanunuzi Kwa maana Serikali tu , mashilika mbalimbali ya ruhusiwe kununua hii itaisaidia mkulima kua na machaguo wapi auze na kujisikia ni mwenye haki katika mali aliyo izalisha,pia sehem itambulike yaani iwepo kwaajili ya mazao kupelekwa yaani magodauni ya kuuzia , Soko likiwa ulia inawafanya wakulima kuona kilimo cha maana sana nakuzidi kukichangamkia Kwa maana ya kupenda kuendeleza mazao, kwanjia hiyo nchi itafanikiwa kwa kiwango kikubwa katika uboreshaji wa miundombinu Kwa kua kutakua na utulivu eneo la Mkulima kwa kunufaika na bei elekezi na uwepo wa Soko la mazao yake.
KUIMALISHA ULINZI NA USALAMA
Tanzania ijayo unaitaji kuimalisha ulinzi kuanzia ,vitongoji,vijiji, kata, wilaya mikoa , yaan nchi nzima Kwa ujumla, kwa maana wananchi wasiisababishie madhara Serikali, na Serikali kua makini katika utendaji ili isiwadhuru raia wake , vyombo vya ulinzi kusimamia vizuri mipaka, ili kuepuka wahamiaji kuingia kinyemela, kufanya hivyo itaisaidia uduma zilizopagwa kibajeti kulingana na hesabu iliyopo ya watu kutosheleza.
BAJETI
Tanzania nzuri na ijayo ili kufaulu kwenye kipengele Cha miundombinu , inatakiwa inapotenga malipo mbalimbali Kwa ajili ya wafanya kazi walio ajiliwa yaani watumishi, itenge pia malipo ya sekita mbalimbali, mfano sekita yakilimo mala nyingi imekua ikiwakopa wakulima , wakulima Wanavuna na kuuza hewa wanapokea maelekezo yakulipwa mda ambao ni mlefu bila kufanya makubaliono na pesa hufika ikiwa imechelewa ,maitaji yakiwa ni mengi,hivyo kushidwa kukidhi maitaji Kwa wakati, Serikali iweke mkakati vizuri kuepuka migogoro kati ya Serikali na watu wake.

Tanzania itengeneze mfumo wa vibali kwa nia ya kuwakopesaba mda wafanyabiashara wanao anzisha biashara , kwakua wananchi wengi wamekua wakiona kulipakodi ni njia ya kunyanyaswa kulingana na malipo yanafanyika kabla hata biashara haijaanzishwa, yaani kiasi kinachotakiwa kutoka kabla ya biashara kuanza kina muangusha mfanya biashara , hivyo basi kibali kikiluhusu mtu aanze biashara kwa Malipo kidogo kutakana na kibali, basi hata ulipaji wa Kodi hautasumbua, ikizingatia mtaji wa mfanyabiashara si kutoka serikalini.
SIRAHA ZA MOTO
Tanzania ijayo inatakiwa kuacha kuchukua idadi kubwa ya watu wanaopewa elimu ya ulinzi wa kutumia siraha za moto, kama haijajipanga kuusu ajila hiyo . Kwa kua hakuna shughuli ya kujiajili kwa namna yoyote itakayo msaidia mtanzania baada ya mafunzo yatumiayo siraha za moto pale hasipo pata ajila .Hivyo idadi ya watu wanaoshiliki mafunzo yatumiayo siraha wanatakiwa kupata ajila iwezekanavyo, Kwa kua elimu Yao nikushika siraha na kulinda usalama sivinginevyo, hikiwa njia hii haitachukuliwa hatua kimkakati basi nchi itazalisha kizazi ambacho kitakua hakina usalama .

- Tanzania ijayo ÷
- RUSHWA. Serikari inatakiwa uzingatia yafutayo katika utengenezaji wa miundo mbinu , kuepuka rushwa, hiki ni kikwazo kikubwa, katika , maendeleo ya taifa, bajeti elekezi inayotolewa kwa ajili ya utengenezaji wa miundo mbinu serikali iakikishe pesa ifike sehemu usika na bila kupita mikononi mwa watu tofauti na wahusiki wa shughuli husika mfano, unafanyika ujenzi wa barabara basi malipo yawafikie wakandalasi , pasiwepo namna yoyote ya kufanya wafanyakazi kuiona kazi ngumu bila malipo kupelekea kutelekezwa Kwa kazi kusababisha ualibifu wa mda pesa na nguvu kazi.

Upvote
2