Uboreshaji wa Sekta ya Kilimo

Uboreshaji wa Sekta ya Kilimo

Joined
Sep 29, 2022
Posts
19
Reaction score
12
Kwa ajili ya WATOTO wao wenye nguvu na wachawi sana kuelewa SEKTA YA KUPAMBANA (UJAMAA VS JAMAA)… Taasisi za UMOJA WA MATAIFA UN {ILO, UNHCR, FAO} ina mpango wa kuleta matrekta 70,000 na utengenezaji wa matrekta zaidi ya 10,000 NCHINI TANZANIA kwa ajili ya kusaidia shughuli za kilimo.

Tunaomba mwananchi wa JF TOA MAONI nani apewe hayo matrekta pamoja na fedha za mkopo kutoka INDIA RUPEES MIL 78 kuboresha sekta ya kilimo ambayo wanasemaga ni kimbilio kwa zaidi ya asilimia 67% ya Watanzania.

TALI
TARI Homepage

SUMA JKT
Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

KAMPUNI BINAFSI
Kilimo

CHUO CHA SUA
Welcome to Sokoine University of Agriculture (SUA)
 
Back
Top Bottom