Kwenye Kanisa Moja Takatifu Katoliki La Mitume La Kimisionari ni ngumu sana kuwa na ndoa mbili hata uende nje ya nchi.Habari..
Kumekuwa na udanganyifu kwenye baadhi ya ndoa za kikristo. Kwa sheria na taratibu zao imeruhusiwa ndoa moja tu. (Nyingine zitafungwa ikiwa mwanandoa mmoja amefariki au ndoa kubatilishwa na kanisa)
Nimeshahudia kesi za watu watatu wakristo, mmoja alifunga ndoa na mwanamke ambaye alishafunga ndoa mkoani Kilimanjaro na baadae kuamia Dar Es Salaam. Mwanamke alidanganya kuwa hakuwahi kuolewa. Baada ya kesi kuunguruma- ndoa ilibatilishwa.
Pia kuna ndoa mbili wanaume wamefunga ndoa mikoani (nje ya dar), baadae wakagundulika kuwa walishafunga ndoa.
Ushauri: ingekuwa vyema swala La ndoa lingewekwa kwenye mtandao. Taarifa za ndoa zingekuwa kama kwenye google sheet ili taarifa ziweze kuonekana katika makanisa. Wachungaji na mapadri wapewe access ya hiyo program ili kuondoa duplicate.
Ndugu, mimi pia mkatoliki. Na hizo ndoa nilizozishuhudia ni za kikatoliki. Sisi wakatoliki hatuna database zaidi ya matangazo ya kanisani, mtu anadanganya sehemu alizoishi.Kwenye Kanisa Moja Takatifu Katoliki La Mitume La Kimisionari ni ngumu sana kuwa na ndoa mbili hata uende nje ya nchi.
Mtu anaweza kukwambia mumewe alifariki, au hakufunga ndoa, alitelekezwa nkLabda hizo ndoa hazina vyeti. Kama unaoa mama mwenye mtoto ni lazima umuulize aliko baba wa mtoto ili ujiridhishe kama huyo si mke wa mtu
Habari..
Kumekuwa na udanganyifu kwenye baadhi ya ndoa za kikristo. Kwa sheria na taratibu zao imeruhusiwa ndoa moja tu. (Nyingine zitafungwa ikiwa mwanandoa mmoja amefariki au ndoa kubatilishwa na kanisa)
Nimeshahudia kesi za watu watatu wakristo, mmoja alifunga ndoa na mwanamke ambaye alishafunga ndoa mkoani Kilimanjaro na baadae kuamia Dar Es Salaam. Mwanamke alidanganya kuwa hakuwahi kuolewa. Baada ya kesi kuunguruma- ndoa ilibatilishwa.
Pia kuna ndoa mbili wanaume wamefunga ndoa mikoani (nje ya dar), baadae wakagundulika kuwa walishafunga ndoa.
Ushauri: ingekuwa vyema swala La ndoa lingewekwa kwenye mtandao. Taarifa za ndoa zingekuwa kama kwenye google sheet ili taarifa ziweze kuonekana katika makanisa. Wachungaji na mapadri wapewe access ya hiyo program ili kuondoa duplicate.
Serikali inafungisha hizo ndoa,kwenye cheti cha ndoa(nakala zote mbili) lazima mseme kuwa ni ya mke mmoja au wake wengikwanza Serikali ingepitisha ndoa ya wake wengi bila kujali dini maana serikali haina dini
Sheria ya Ndoa inaeleza kuwa mtu unaweza kupata taarifa za kindoa za mtu unayetaka kuoana nae kwa kufanya upekuzi (SEARCH) kwenye ofisi za RITA.Habari..
Kumekuwa na udanganyifu kwenye baadhi ya ndoa za kikristo. Kwa sheria na taratibu zao imeruhusiwa ndoa moja tu. (Nyingine zitafungwa ikiwa mwanandoa mmoja amefariki au ndoa kubatilishwa na kanisa)
Nimeshahudia kesi za watu watatu wakristo, mmoja alifunga ndoa na mwanamke ambaye alishafunga ndoa mkoani Kilimanjaro na baadae kuamia Dar Es Salaam. Mwanamke alidanganya kuwa hakuwahi kuolewa. Baada ya kesi kuunguruma- ndoa ilibatilishwa.
Pia kuna ndoa mbili wanaume wamefunga ndoa mikoani (nje ya dar), baadae wakagundulika kuwa walishafunga ndoa.
Ushauri: ingekuwa vyema swala La ndoa lingewekwa kwenye mtandao. Taarifa za ndoa zingekuwa kama kwenye google sheet ili taarifa ziweze kuonekana katika makanisa. Wachungaji na mapadri wapewe access ya hiyo program ili kuondoa duplicate.
Kumbee..hii iko vzr nadhani linatakiwa litiliwe mkazo...Sheria ya Ndoa inaeleza kuwa mtu unaweza kupata taarifa za kindoa za mtu unayetaka kuoana nae kwa kufanya upekuzi (SEARCH) kwenye ofisi za RITA.
Gharama ya kufanya search ni Tshs. 40,000/= hivi.
Tatizo moja ni kuwa, wafungisha ndoa wengi huwa hawapeleki RITA daftari la usajili wa ndoa walizofungisha ili ziwekwe katika database ya RITA, kwa hiyo kwa sasa limekuwa ni jukumu la mwanandoa mwenyewe kupeleka cheti chake cha ndoa RITA ili kihakikiwe na kuthibitishwa na RITA. Gharama ni Tshs. 50,000/= hivi
Kwa lugha rahisi ni kuwa, kwa sasa hata wenye vyeti vya ndoa na ndoa zao hazina migogoro wanatakiwa waende RITA kuboresha taarifa zao, ndio zitasomeka nchi nzima.
Ushauri:
RITA wawape wafungisha ndoa, sharti la lazima kusajili ndoa kwenye mfumo mara tu baada ya kufungisha (kusajili)
Ndiyo. Ukienda na cheti cha ndoa kwenye ofisi za RITA wanakufanyia huo uhakiki na mzigo utakua unatambulika. Kwa sasa nasikia hata baadhi ya huduma, kama bima ya afya wanapomsajili mwanachama mpya hawakubali cheti cha ndoa ambacho hakijahakikiwa.Kumbee..hii iko vzr nadhani linatakiwa litiliwe mkazo...