ishengoma kamuhanda
Senior Member
- Oct 2, 2016
- 136
- 116
Hii barabara ni kongwe inatokea pugu mnada wa ng’ombe hadi Gongo la mboto, Mombasa Ukonga, Banana, Majumba sita, Airport hadi Vingunguti.
Baadhi ya maeneo hasa ikinyesha mvua hapapitiki. Maji toka reli mpya yanakuwa mengi yanazidi kuharibu.
Uongozi ngazi zote wanajua kuanzia Serikali ya mtaa, CCM, diwani, mbunge lakini hakuna hatua zozote zinazochukuliwa.