DOKEZO Ubovu wa barabara ya Hoteli tatu kwenda Kilwa Pande

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Wakazi wa kulwa pande tuna kero kubwa juu ya barabara hii.

Kila siku tunapigwa kalenda tu kwamba itajengwa kwa kiwango cha lami lakini hakuna utekelezaji.

Serikali itambue wajibu wake, sio kujenga barabara za mitaa za Makao Makuu ya Halmashauri na Kijijini wanakuachia.
 
Nyie Kilwa barabara ya kazingani hiko.
Huko si ndio makao makuu yanuchawi tz.
Kwann msitumie hiyo elimunkubwa ya uchawi ku solve hizo changamoto ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…