A
Anonymous
Guest
Kwa kipindi hiki cha miezi miwili iliyopita usafiri wa meli umekuwa mgumu sana, mpaka sasa meli hiyo haifanyi kazi imesimama pale Nyamisati na raia tunapata sana shida ya usafiri mpaka tunalazimika kutumia mashua na boat za mizigo kwa ajiri ya usafiri wa kwenda Mafia.
Naziomba mamlaka zinazousika hasa Halmashauri ya Mafia na wengine kuliangalia hili suala maana tunapata matatizo ya usafiri mpaka basi.
Naziomba mamlaka zinazousika hasa Halmashauri ya Mafia na wengine kuliangalia hili suala maana tunapata matatizo ya usafiri mpaka basi.