KERO Ubovu wa Shule ya Msingi Rugu, Wilaya ya Karagwe - Mkoa wa Kagera

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Kuna ubovu wa miundombinu ya Shule ya Msingi Rugu iliyopo Kata ya Rugu, Tarafa Nyaishozi, Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe, Mkoa wa Kagera, hii shule ni kongwe ila uchakavu wa miundombinu unatisha sana.

Tunaomba uongozi uliangalie kwa jicho pana na waweze kuikarabati naona tangia inchi ipate uhuru watoto wanasoma kwenye vumbi.

Mkurugenzi wa Halmashauri na TAMISEMI angalieni hii shule na kuifanyia ukarabati.












​
 
Hivi kweli hata wazazi wameshindwa kuchangishana na nguvu kazi kukarabati hiyo shule? Tena Karagwe? Loh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…