Ndugu wadau katika maisha ya kufanikiwa daima lazima uwe makini na unayejielewa, ila katika hali isiyoya kawaida serikali imekurupuka na BIG RESULT NOW pesipokuangalia watendaji wakuu wa sekta husika. Leo napenda kuzungumzia sekta ya elimu ktk wilaya ya Kondoa/chemba, kwa data za kitaifa wilaya ya kondoa/chemba ni moja kati ya wilaya zenye hali mbaya sana kielimu na ili linatoka na jamii husika kutokuchukulia shule kama issue ya msingi na pia mazingira ya kusomea na la mwisho na kubwa ni suala la ungozi[wakuu wa shule] kati eneo ili hali ni mbaya sana kwani wengi wa wakuu wa shule 1 HAWAJITAMBUI, 2 HAWANA VIGEZO, 3 NI INCOMPITENT KTK MANAGEMENT, NA MADIKTETA. NA Ili limepelekea kujenga madaraja ndani ya shule na ili linapelekea kushuka kwa morale ya kufundisha na tumekuja na mpango wa matokeo makubwa sasa na kwa hali hii hakuna na hakutakuwa na matokeo makubwa sasa. Na viongozi wa elimu wilaya husika wanalijua ilo vizuri kabisa ila wapo kimya tu maofisini. Nao mh mwanry au majaliwa mulika wilaya izi mbili ili kuweka mambo sawa vinginevyo mtayasikia tu hayo matokeo makubwa