DOKEZO Ubunge Afrika Mashariki rushwa tupu ndani ya CCM

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Kwani ni lini hii tabia haijawahi kuwepo huko nyuma mpaka leo ndiyo useme itakuwa sifa na mtindo wa kupata uongozi
 
Paskali Acha makasiriko washakula kichwa endelea na law firm
 
..tupambane Kiswahili kiwe lugha ya mawasiliano ktk EALA.

..kinyume na hapo tusidanganyane kwamba Tanzania ina uwakilishi ktk EALA.
 
Masikini Pasikal!! Inabidi asubiri mwakani agombee hata uMwenyekiti wa mtaa na akiwa mikono mitupu wanalamba kichwa vilevile.
 
Pascal Mayalla alitoa kiasi gani?
 
Hiv huo ubunge wanaong'ang'aniana hivyo una faida gan kwao?

Wanatumwa wakawakilishe raia ama wakawakilishe shida zao binafsi? Kwa aina hii ya siasa na wanasiasa wataweza kweli kutatua migogoro ya wanajumuiya wa East Africa?

Siasa imekua ajira
 
Ina maana Mizengo Pinda hakuona jambo hilo ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…