Yote katika yote atakayeshindana na mwenyekiti wangu awe tayari kushindwa hata kabla ya uchaguzi.
Tunahitaji kuongeza idadi ya wabunge wa upinzani bungeni. Hivyo asijisumbue kwa sababu safari hii tunalinda kura zetu kwa d**u yetu wenyewe, wizi hakuna![/QUOTE
mkuu hiyo system ya ulinzi ndo ipoje, , , , , , ,
Kuna Chrispher Mushi fulani mtu wa Machame alisoma Ilboru, kama ni huyu, basi Mbowe ana kibarua kigumu mbele yake, Jamaas hawa ndio wenye Meru Farmacy za AR na MS. Ni debeter mzuri sana na alifanya kazi UNDP.
ntakuwepo kulinda kura zetu..hatukubali sarakasi za biharamulo na busanda mwaka huu...hahaaaaaYote katika yote atakayeshindana na mwenyekiti wangu awe tayari kushindwa hata kabla ya uchaguzi.
Tunahitaji kuongeza idadi ya wabunge wa upinzani bungeni. Hivyo asijisumbue kwa sababu safari hii tunalinda kura zetu kwa d**u yetu wenyewe, wizi hakuna![/QUOTE
mkuu hiyo system ya ulinzi ndo ipoje, , , , , , ,
Mimi siyo CCM ni Chadema damu damu, ukweli ni kwamba endapo CCM itamteua Bw. Christopher kupambana na Mbowe,Mbowe atakuwa na kazi kubwa sana maana kila mmoja wao ana sifa na ushawishi kwa wakazi wa wilaya ya Hai,wote ni wachangiaji wazuri sana kwenye shughuli za maendeleo kwenye wilaya ya hai.kwa jinsi navyo wajua wakazi wa Hai ni warahisi sana kurubunika kwa vijicent vitakavyo mwagwa na Bw.Mushi maana ana support kubwa ya watu pale hasa wafanya biashara wa kubwa...
Bw. Mbowe ana kazi ngumu sana maana mara baada ya kupata ubunge kwenye jimbo la Hai hakuweza kutekeleza ahadi zake alizotowa wa wananchi na pia hana ushawishi kwa wananchi wa Hai kama ilivyo kuwa mwanzo na hivyo kujiweka katika wakati mgumu,Mbowe ushawishi wake umebaki kwa wakazi kwa kijiji anachotoka cha Nshara.....
Wakuu msijisumbue kwenda kulinda kura maana Mbowe atapata 30%
Wewe ni mwanachama wa CCM damu damu, bwana Awinia Hana ushawaishi wowote kwa maana watu wengi hawamjui.Nimepita maeneo mengi ya Hai watu wengi wana kiu ya Mbowe kurudi kwani mwaka 2005 waliiamini CCM ila matokeo yake CCM haikufanya lolote la kuwashawishi wananchi. Kwa taarifa yako Hai na Moshi mjini ni kati ya majimbo machache ambayo CCM wamekata nayo tamaa.
Christopher Mushi ni kijana safi.
Kuna uwezekano mkubwa wa kushinda.
watu hawapendi maadili ya mbowe.
Ekha mekuu wewe umenena, watu wanaongea tu kwa kuwa hawajui watu wa hai wako vipi. Mnakumbuka mwaka 1995 Mbowe alivyo jitokeza kwa mara ya kwanza? kwa mkazi yoyote wa hai ali amini kuwa Mbowe ange shinda lakini haikuwa hivyo matokeo yake CCM ikaibuka kidedea tena kwa kishindo. Baada ya mwaka 2000 kuchanguliwa hakufanya kile wananchi wengi walichotegemea na na mwishoe mwaka 2005 akajitosa kwenye urais na kuacha jimbo kuchukuliwa na Fuya Kimbita .
Kwenye Swala la kutoa huduma kwa jamii,Christopher kachangia shule ya msingi ya Kisereni na sasa imebadilishwa ina majengo ya kisasa, kachangia shuleUnatudanganya.mwaka 1995 CCM haikushinda.aliyeshinda ni mzee Mwinyi Hamis kupitia NCCR ambaye kwa sasa ni marehemu. CCM wana wakati mgumu sana kulinyakua tena jimbo la hai baada ya kuchemsha kwa miaka mitano. Mbowe ni mengi sana aliyoyafanya Hai. Mfano tu ni ujunzi wa madarasa, kupeleka huduma muhimu ktk mahospitali mfano kisiki, kibongoto, machame hosp. alipeleka vitanda . hivyo ni baadhi ya alivyovifanya.
Kwenye Swala la kutoa huduma kwa jamii,Christopher kachangia shule ya msingi ya Kisereni na sasa imebadilishwa ina majengo ya kisasa, kachangia shule
ya secondary ya Kimbushi High schoool na hospitali ya Nkweshoo na sasa ana Jenga daraja la mto Mwanga ambalo kwa miaka mingi sana limekuwa halipitiki kwa njia ya gari hivyo kufanya wana kijiji kupata taabu sana ya usafiri na mambo mengine mengi tu aliyo changia.
Kumbuka michango yao siyo kigezo cha wao kuchanguliwa, kwa sababu hizo fedha wanazo changia zinatoka mifukoni mwao na wakipata huo ubunge cha kwanza kufanya ni kurudisha fedha zao walizotowa.
kwenye swala la kutoa huduma kwa jamii,christopher kachangia shule ya msingi ya kisereni na sasa imebadilishwa ina majengo ya kisasa, kachangia shule
ya secondary ya kimbushi high schoool na hospitali ya nkweshoo na sasa ana jenga daraja la mto mwanga ambalo kwa miaka mingi sana limekuwa halipitiki kwa njia ya gari hivyo kufanya wana kijiji kupata taabu sana ya usafiri na mambo mengine mengi tu aliyo changia.
Kumbuka michango yao siyo kigezo cha wao kuchanguliwa, kwa sababu hizo fedha wanazo changia zinatoka mifukoni mwao na wakipata huo ubunge cha kwanza kufanya ni kurudisha fedha zao walizotowa.
Siya sema hiyo misaada ametowa ili apate ubunge,ndugu Kwayu kasema Mbowe ana ushawishi sana kwa wakazi wa hai akatoa na orodha ya misaada aliyoitoa nami nika mwambia na Bw.Mushi nae amechangia shughuli nyingi sana za kimaendeleo...kwa hiyo sasa anahitaji reward kwa michango yake siyo? Reward yenyewe ni ubunge! Hahahahahahaha rafiki zangu wachaga siku hizi mmekuwaje? Msipompa je atawafanyaje?
Kila atakayetoa hisani akaja kudai ubunge mtawapa wangapi? Mbona kuna wengi wamefanya zaidi ya hapo wala hawana matangazo?