Forbes1990
JF-Expert Member
- Apr 14, 2018
- 513
- 991
Anza kusoma kuanzia thread ya 309 utajua why nimeandika hicho ulichosoma.Kwa hiyo unataka uwaaminishe wajinga kuwa Zitto ndio sababu ya maendeleo duni Kigoma? Hebu tuwekee na barabara za wilaya za mikoa ya Rukwa, Kilimanjaro, Arusha, Kagera, Tabora na Dodoma.
Vv
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana hapatakuwa na tume huru ya uchaguzi.Kwa akili za Watanzania, Diamond hata akigombea Urais anashinda
Kwa kweli haipendezi kutujazia watu wa ajabu ajabu bungeni kama Diamond platinums, kama issue ni wasanii wawe wabunge kuna watu wenye busara na Elimu ipo Kama wakina Mwana FA na AY
Yaani Diamond kujenga Madrasa na MSikiti kigoma eti aongwe Ubunge hapana kwa kweli
Watoto wake katelekeza South Africa huko wanalelewa na wanaume wenzie ndio hasishindwe kutelekeza kigoma ?
Nimedokezwa na wadau hapa Kigoma ya kwamba wazee wanamtaka Diamond agombee nafasi ya ubunge hapo kigoma mjini badala ya Zitto Kabwe.
Wanadai Zitto kawatelekeza, kahamishia harakati zake twitter na ndani ya jiji la Dar badala ya kuhudumia wanakigoma.
Magwiji hao wa siasa kigoma wanamtaka Diamond awe mgombea wao kupitia chama cha mapinduzi ,wana imani atawawakilisha Barbara,
Kama ni kweli huu ndio mwisho wa ndugu yetu Zitto aliehamishia majukumu yake Twitter.
Kila la kheri Diamond katika.utumishi wako wa ubunge, hakuna wa kukuzuia
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes it is possible. Lakin je is he a right man? Si kila msanii ni kiongozKwa akili za Watanzania, Diamond hata akigombea Urais anashinda. Ila Diamond hajijui tu kuwa yeye ni mkubwa kuliko wanasiasa.Tena akigombea Kigoma atashinda asubuhi kabisa.
Labda Urais wa Wasaka Tonge na Mamluki ataupata
Urais, ubunge wa Tanzania unaamriwa na kikundi kidogo sana ndani ya nchi hii.Watanzania bwana,hivi hao wazee wana kura ngapi za kumpa mgombea ushindi? Ingekuwa wana kura nyingi vipi wazee wa Dar walikubalije wapinzani washinde? Hakuna cha wazee wala nini wazee wa nchi nzima hawafiki hata mil.2
dah kumbe unazungumzia ile pawa kama ya akina bashite... sorry nilikuw sijakupata mkuuHujaijua power bado mkuu
Una maana Prof Jay, Sugu, Vita Kamata, Mreh. Komba n.k. Siasa imewamaliza😃😃Hill linafahamika Ni mpango Wa ccm, ila akiingia kwenye siasa atajimaliza
Ndio nikasema mkitawaliwa na kuteswa kwa mda isiopungua miaka 500, may be hicho kizazi kitajua kama babu zetu (wewe) walikuwa fyatu kwa sababu fools learn from experience & wise person profits from experienceHivi unawezaje kujizuia kutoa michango yako hapa JF kwa muda mrefu hivyo! Yaani toka 2007 mpaka wa leo posts zako hapa hazifiki hata kitabu/buku/1000.!!!
====
Narudi kwenye mada. Mkuu kati ya vitu vigumu sana kuvifanyia modelling na simulation ni Political trends na scenario. Yaani hata ukitumia the most powerful machine learnig techniques za namna gani, models zitakazopatia za kubashiri political trends na scenario usahihi wake unakadiriwa kutozidi asilimia 7. Kwa maneno mengine Nassibu/Almasi kuwa mbunge wa Kigoma inaweza kuwa chachu ya kuleta maendeleo ya kiuchumi na kisiasa mikoani kuliko unavyodhani. Politics is realy function complex numbers with real and functional imaginary numbers. Mathematician knows better this statement!
wazee wa kigoma hawajui mdudu anaitwa Twitter katunge upya uongo wakoNimedokezwa na wadau hapa Kigoma ya kwamba wazee wanamtaka Diamond agombee nafasi ya ubunge hapo kigoma mjini badala ya Zitto Kabwe.
Wanadai Zitto kawatelekeza, kahamishia harakati zake twitter na ndani ya jiji la Dar badala ya kuhudumia wanakigoma.
Magwiji hao wa siasa kigoma wanamtaka Diamond awe mgombea wao kupitia chama cha mapinduzi ,wana imani atawawakilisha Barbara,
Kama ni kweli huu ndio mwisho wa ndugu yetu Zitto aliehamishia majukumu yake Twitter.
Kila la kheri Diamond katika.utumishi wako wa ubunge, hakuna wa kukuzuia
Sent using Jamii Forums mobile app
but hao watu hata mizuki wao ulikuwa wa kiharakati na Siasa pia sio hawa wengineo
Kweli kabisa, ila bora angeachana na siasa akaendeleza kipaji chake.Kwa akili za Watanzania, Diamond hata akigombea Urais anashinda. Ila Diamond hajijui tu kuwa yeye ni mkubwa kuliko wanasiasa.Tena akigombea Kigoma atashinda asubuhi kabisa.
Litakuwa bunge la viuno vitupu... na hayo ikitokea yakawa basi;Hilo bunge 2020, Harmonise, Diamond na bado Shilole .
diamond mkubwa kuliko wanasiasa na akigombea uraisi anashinda? ni haki yako kikatiba kuota ndoto mchana my sis, ile kuwa a true politician sio sawa na kuweka uja uzito kila dada , kila sly queen, kila socialite na mengine, politics and enterteinments these are 2 very very diffrent things, a politician who knows his or her job has a very clear vision, strategy and sees what others cant see, can predict the outcame of situations before others, can dream and implement policies and such, the diffrence btw first world and a country like tz is tz politicians thinkworshipping the president is all there is, a tz president buys planes and such while people die for lack of medications in hospitals, less than 1% of tzs oard planes, children walk up to 15km to and from school, thats how a cluless politician thinks is development, so yes diamond can win coz tz people have no idea of what a politician is expected to do, give tz a leader like markel of germany or pm of netherlands and in less than 10 years tz will be a first world country.Difference------THE WAY OF THINKING.Kwa akili za Watanzania, Diamond hata akigombea Urais anashinda. Ila Diamond hajijui tu kuwa yeye ni mkubwa kuliko wanasiasa.Tena akigombea Kigoma atashinda asubuhi kabisa.