Uchaguzi 2020 Ubunge Rorya 2025: Wenje tafadhali sana kachukue Jimbo

Lameck ameshachokwa sana mkuu kumbuka yupo Yule mwenyekiti wa Ccm Mara Yule msabato Samuel kiboye na kuna jamaa mwingine anaitwa ochoya (sikumbuki jina lake vizuri) ni watu wenye ushawishi mkubwa sana ni rahisi kuchukua jimbo japo kama wenye akiwepo ni lazima ushindani utakuepo. Mkuu Mimi mwenyewe nataka udiwani pale shirati ila najua kwa yule fogo Ongujo siwezi toboa ukizingatia Mimi ni mjaluo pure lakini wa mjini😂😂
 
Wajaluo mnapendeza zaidi CDM sio CCM.
 
Wajaluo mnapendeza zaidi CDM sio CCM.
Sasa kwanini CCM imetawala huko miaka yoote? Nahisi wajaluo walio elimika ndio wamapenda chadema kwa sababu wanapenda waone mabadiliko ya rorya kwa ujumla
 

Mkuu, katika watu walioandika nyuzi za kunigusa mwaka huu ni wewe. Yaani umeandika andiko zuri lenye kuchambua mazingira yote ya Rorya.

Miaka miwili niliyoishi Rorya ilifanya nifahamu Rorya kwa aslimia 88 na ni vijiji/sehemu chache sana ambazo sijakanyaga kule. Kuanzia Utegi hadi Sota. Kutoka Shirati-Sota nipite Masonga hadi Kirongwe na Kogaja. Nimeishi sana Kowak, Nyabikondo, Shirati, na Sota. I know more about that Jimbo (Rorya).

Kitu kibaya kwa Rorya, hakuna good climatic condition to favour kilimo cha mazao ya biashara. Uvuvi ni sekta pale but wengi wanafanya uvuvi local na wengine uvuvi haramu. Ni kweli elimu kwa wilaya ya Rorya ni shida sana maana vijana wengi hawathamini shule.

Mwisho,
Wenje achukue form ya kugombea ila awe CCM coz Nina imani naye tangu yuko mitaa ninayoishi hapa Nyakaghana.
 
HATA KWA TUME HII HII WANANCHI WAKIAMUA INAWEZEKANA!
 
CCM TENA? WENJE UMPELEKE CCM? UNAMJUA VIZURI?
 
Indiko ndk man pokoadwaro neno, nyarombo ogwedwi, waluo waache ubinafs ebu wajifunze kwa wachaga, giwee juok be.
 
 
Naunga mkono hoja General Wenje aende Rorya ili Kuweka uwiano sawa nyamagana aachwe mwalimu pambalu aiongoze nyamagana
 
Nilishangaa sana kwenye kampeni za 2010 nilikuwa pale Utegi nikasikia " darasa la saba Oyeee" na watu wakashangilia

Mbunge aliyetoka kipindi icho Prof Sarungi alikuwa msomi mwenye hadhi ya juu lakini wananchi wa Rorya hawakumuelewa maana hakugusa maisha ya wananchi moja kwa moja, ndipo alipokuja Lakairo na kuanza kufadhiri miradi mbalimbali Kama ujenzi wa shule na kutoa vifaa na hospital mbalimbali pia kutokana na umasikini wa watu alikuwa anasaidia watu kwenye shida mbalimbali hasa misiba na matatizo kadhaa ya kijamii Kama ndoa na n.k...huyu alikuwa ni mfadhili wa Jimbo kama msomi mmoja alivyowahi kusema

Katika watu 100 niliofanya nao mahojiano kati ya mwaka 2010 mpaka sasa wanaamini Lakairo ndio mfano wa kiongozi anayehitajika ndani ya Rorya, hawa ni wale wananchi wa chini kabisa, Prof Sarungi amesababisha wasomi tusithaminike sababu yeye alikuwa ni mtu anayejali national interest kuliko nyumbani
 
KATA KAMANO JOTEND PINY NI CHAKRE LOCH NYERERE, OK-NENWA EI KWAN MAR JOGEGI.... En wichkuot maduong' ni nyaka sane Rorya waonge yor lam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…