Nimechukua muda wa kama Saa zima kutemebelea tovuti ya bunge la Tanzania, yaani http://www.parliament.go.tz na kuangalia Cv za wabunge wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.Nimegundua kuwa wengi wa wabunge hawana hata digrii.
Je kwa utendaji wa bunge letu wa sasa, kuna uhusiano wowote na nililoliona?.