CCM saa Nne tu inatangazwa Mshindi
CCM saa Nne tu inatangazwa Mshindi
Nyie mnafikiri siasa za Kilimanjaro ni kama za kwingineko? Watu hawadanganyiki kirahisi na ccm kama kwingine na watu kule wanabadilisha vyama watakavyo.Saa nne mbona kuchelewa, siku moja moja kabla
Selasini kawa ishirini,kuna majina yana laanaNi wazi sasa mpambano ni kati ya wanasiasa hawa.
Kulikuwa na tetesi kwamba Joseph Selasini angekimbia Chadema kumkwepa kada mahiri wa Chadema,ndugu Malisa, na ndivyo ilivyotokea
Hatari iliyopo ni mgawanyiko wa kura za wapinzani, ambayo ndio kazi aliyopewa ndugu Joseph Selasini,ili "wote tukose"
Hali ya ndugu Selasini jimboni ni mbaya akituhumiwa usaliti na kutoleta maendeleo yoyote.
Muda si mrefu, kikosi mahiri cha vijana wa Bavicha watapiga kambi jimboni kusafisha mabaki ya ndugu Selasini.
Watamuelwa tuu,alishajijenga siku mingiMalissa ni mu old moshi/Uru...
Sidhani kama warombo watamuelewa
Itakuwa ngumu sana.. kwa kweli.Malissa ni mu old moshi/Uru...
Sidhani kama warombo watamuelewa
Ka Malisa kanampiga asubuhi na mapema!Ni wazi sasa mpambano ni kati ya wanasiasa hawa.
Kulikuwa na tetesi kwamba Joseph Selasini angekimbia Chadema kumkwepa kada mahiri wa Chadema,ndugu Malisa, na ndivyo ilivyotokea
Hatari iliyopo ni mgawanyiko wa kura za wapinzani, ambayo ndio kazi aliyopewa ndugu Joseph Selasini,ili "wote tukose"
Hali ya ndugu Selasini jimboni ni mbaya akituhumiwa usaliti na kutoleta maendeleo yoyote.
Muda si mrefu, kikosi mahiri cha vijana wa Bavicha watapiga kambi jimboni kusafisha mabaki ya ndugu Selasini.
Kaka Chadema wasifanye hilo kosa...Watamuelwa tuu,alishajijenga siku mingi
Malisa atagombea moshi vijijini kwa Antony KomuChato electoral comission
Moshi rural kuna LUCYMalisa atagombea moshi vijijini kwa Antony Komu
Kuna kijana si muda mtamuona mrombo makini
Chato electoral comission
Watamuelwa tuu,alishajijenga siku mingi
Ka Malisa kanampiga asubuhi na mapema!
Kaka Chadema wasifanye hilo kosa...
Warombo nawajua vizuri
Uzuri K’Njaro watu wana uelewa na wanaweza kubadili chama chochote wako kama watu wa Uingereza au Marekani ndio maana wapo mstari wa mbele kwenye siasa za upinzani wakati watanzania wengine bado wanafikiri ccm ni jina jingine la Tanzania.Kuna kijana si muda mtamuona mrombo makini