TreasureFred
Member
- Feb 25, 2008
- 64
- 3
Kaka/Dada hebu kabla sijatoa mtazamo wangu niambie NAPE amemaliza degree ya kitu na chuo gani?ili tuweze ku evaluate elimu yake na baada ya hapo tumfananishe na Mnyika.
Naomba msaada wako.
Education is not only books is a spirit some one born with!!
Post yangu ni result ya post ya Achebe alosema kuwa NAPE ana elimu kuliko Mnyika my intrest ni kupata facts from Achebe juu ya swala nililouliza then tuweze kujadili hilo ndg umekimbia kabla ya kuanza kutembea
Ayubu Rioba has got no theory, hana kitu chochote cha kuwambia Watanzania, ni watu ambao they have got nothing to tell Tanzanians of Today, ni Vijana-wazee na mind set zao zimezeeka. Mtu kama bado ana mawazo kama hayo ujue ana mtindio wa kufikiri, CCM kwa sasa wamefulia na wajue hilo, we are tired of these kila kukicha dubious scandals, na mimi huyu kaka namfahamu kidogo, ni wale watu walio karibu na state--security pamoja na kujifanya kama sio,
ngoja tuone what is gonna happen in 2010