mm nimeingia pale jana asubuhi sana..........wakati natoka, nimetoa 300 yangu, naona yule mama ananikodolea macho, kama vile ....si uende tu kwani unahitaji receipt? nikawa mkali, nikamwambia leta receipt hapa!
Asante nishakuwa na mwenyeji kabisa sasa. Chamaki wengi tu. By the way kuna kitu kimenifurahisha kwenye avatar yako ila nitakuambia baada ya kuisha kwa Pasaka ili nisijevunja ahadi yangu