Ubungo kibangu miezi 3 bila maji kitila ameleta matank ya kuuza maji

Ubungo kibangu miezi 3 bila maji kitila ameleta matank ya kuuza maji

Superleta

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2019
Posts
575
Reaction score
655
Huko kibangu mitaa ya kajima wananchi wana miezi 3 hawajaona maji

Mbunge Kitila badala atatue kero ameleta matank ambayo hayajulikani ni nani mmiliki kwa ajili ya kuuzia wananchi maji

Hali ni mbaya mno, watu wamelalamika hadi wamechoka
 
NIMEONA NIWEKE LINK YA DAWASA HAPA WANANCHI WANALALAMIKA WANAJIBIWA HOVYO TUNAOMBENI MSAADA HAPA JF[emoji1313]

 
Back
Top Bottom