Ubungo Riverside kuna ghorofa inachafua tunu za taifa

Leverage

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2021
Posts
2,125
Reaction score
3,150
Mnaopita hii barabara upande wa kushoto kama unaenda Buguruni kuna ghorofa juu ina bendera tatu za taifa. Bendera zile zimechakaa, zimeisha na moja imechanika.

Hii ni kuzalilisha icon ya taifa. Mamlaka husika zifuatilie hili swala. Je ile ni ofisi ya umma au nyumba ya mtu?
 
Bendera zinauzwa. Huenda hawana/hawajatenga bajaeti ya kununua. Au wameamua kupuuzia tu.
 
Mnaopita hii barabara upande wa kushoto kama unaenda Buguruni kuna ghorofa juu ina bendera tatu za taifa. Bendera zile zimechakaa, zimeisha na moja imechanika.
Hii ni kuzalilisha icon ya taifa. Mamlaka husika zifuatilie hili swala. Je ile ni ofisi ya umma au nyumba ya mtu?
Picha ndo kila kitu
 
Kuzalilisha ndio nini mkuu? Yani ulishindwa hata kupiga picha?
 
Note: Bendera ya taifa haifuliwi, haishonwi na kuchakaa kwake siyo kosa naomba uweke picha watapata ujumbe Kisha watanunua mpya mkubwaa..
 
Mbona pantoni la kigamboni hapa lina bendera imechanika chanika?
 
Mnaopita hii barabara upande wa kushoto kama unaenda Buguruni kuna ghorofa juu ina bendera tatu za taifa. Bendera zile zimechakaa, zimeisha na moja imechanika.

Hii ni kuzalilisha icon ya taifa. Mamlaka husika zifuatilie hili swala. Je ile ni ofisi ya umma au nyumba ya mtu?
Bendera chakavu zinawakilisha watu wanaoishi kwenye nyumba za udongo, zisizo na maji ya bomba wala umeme.

Nchi chakavu inapata bendera chakavu.

Fair deal.
 
Hivi utaratibu wa bendera ya taifa ni lazima ipandishwe SAA 12 asubuhi na kushushwa SAA 12 jioni?
Pale hata ukipita SAA nane usiku zipo tu
 
Mnaopita hii barabara upande wa kushoto kama unaenda Buguruni kuna ghorofa juu ina bendera tatu za taifa. Bendera zile zimechakaa, zimeisha na moja imechanika.

Hii ni kuzalilisha icon ya taifa. Mamlaka husika zifuatilie hili swala. Je ile ni ofisi ya umma au nyumba ya mtu?
weka picha mzalendo
 
Siku hizi bendera haithaminiki, inapandishwa na kushushwa huku watu wanachapa mwendo tu..
 
Back
Top Bottom