Ubungo:Watumishi wa Dawasa wanawajibu wananchi hovyo ni baada ya wananchi kukaa miezi 3 bila maji

Ubungo:Watumishi wa Dawasa wanawajibu wananchi hovyo ni baada ya wananchi kukaa miezi 3 bila maji

Superleta

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2019
Posts
575
Reaction score
655
Ubungo:Watumishi wa Dawasa wanawajibu wananchi hovyo ni baada ya wananchi kukaa miezi 3 bila maji

Ubungo kibangu mtaa wa kajima watu wana miezi 3 bila maji, dawasa wamezuia maji kwa maksudi halaf wanaleta magari yao ili wauzie wananchi maji

Dumu la maji limefika 2000!!

Watu wana miezi 3 bila maji!!
 
Tupazieni tupate maji tunateseka mno
 
Hii ni Dar je uko sengerema vijijini hali ikoje?
Hii ndio Tanganyika ya CHURA yuko bize na udalali TU.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom