Muda mfupi Lady Gaga ameingia red carpet akiwa ndani ya 'YAI KUBWA. Leo anasubiri kutotolewa ndo aoneshe vitu vyake.
Ubunifu wake au kuonekana kwake tofauti ni kama wa Msanii wetu Mzee wa farasi, Mzee wa Winchi, Mzee wa Kijiko- Ally Chocky ambaye naye huwa anaingia kwa staili mbalimbali zinazoacha magumzo.