Ubunifu: book shelves ideas

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Hii ni kama urembo zaidi kuliko uhalisia.. Ama kumbukumbu za tulikotoka.. Kizazi hiki hakina wasomaji wa vitabu tena😪 internet imechukua nafasi ya kila kitu
Nikikumbuka enzi za collection ya vitabu vya
Ujamaa na kujitegemea
World cold wars
Soviet union
African writers series
Riwaya za kibongo
Riwaya za akina James Bond, James Hadley Chase, Nick Carter.. Na maelfu mengine ya vitabu nabaki kusikitika
Kwasasa ni nadra sana kukuta ndani ya nyumba kuna book shelf
 
Haka nimekapenda kako simple na ni affordable
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…