Ubunifu: book shelves ideas

Asante sana Mshana Jr
Nimepata ufumbuzi kwa hawa wanangu. Maana kesi za kuharibiana vitabu nimepambana nazo sana.
Sasa mwarobaini umepatikana.
 
Asante sana Mshana Jr
Nimepata ufumbuzi kwa hawa wanangu. Maana kesi za kuharibiana vitabu nimepambana nazo sana.
Sasa mwarobaini umepatikana.
Ukitengeneza tumia mbao pori zinadumu ni ngumu na haziliwi na wadudu.. Ogopa mbao za kupiga rangi, pia chagua dizaini ambayo vitabu vitakaa vema bila kuanguka
 
Ukitengeneza tumia mbao pori zinadumu ni ngumu na haziliwi na wadudu.. Ogopa mbao za kupiga rangi, pia chagua dizaini ambazo vitabu vitakaa vema bila zamani
Shukrani mkuu! ๐Ÿ™๐Ÿผ๐Ÿ™๐Ÿผ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ