Ubunifu huu wa hoja ulipaswa kupelekwa bungeni.

buffalo44

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2016
Posts
4,678
Reaction score
11,357
2018:NINAOMBA SELIKARI ISIMAMIE YAFUATAYO.

1.Mimba Zipunguzwe Miez Badala Ya 9 Ziwe Miez 4.

2.Nauli Ya Ndege Kwenda South Afrika Iwe Bure Make Ni Mteremko.
3.Sukuma Wiki Ichunguzwe kwa Nini Haiwez Sukuma Mwez Au Mwaka.

4.Siku Za Mwizi Ziwe Walau 90 Sababu Uchumi Umekua Mgumu.

5.kuwepo fom za kwenda jela.

6.Chumvi iuzwe Bei Ya Sukari Na Sukari Bei Ya Chumvi.

7.soda Ijazwe Chupa Hii Tabia Ya Kuacha Nafasi Kdogo Ni Kutuibia.

8.Donati Zisiwe Na Shimo Katikati La Kaz Gan.

9.Vocha Ya Buku iuzwe mia tisa tupate mia za kukwangulia.

10.viwepo vbanda vya chips bata. tumechoka na chips kuku.
 
Kama nitabahatika kuwepo bungeni hoja zako zote mheshimiwa nitaziunga mkono zote isipokuwa hoja No.2 haija faida ya moja kwa moja kwa walalahoi.
 
Mheshimiwa spika, naomba kuongeza hoja mbili tatu:
1 Kama mtoto wa kike anavunja ungo, basi wa kiume avunje mwiko.
2 Kama mbuzi inakuna nazi kondoo nayo ipewe cha kukuna.
3 Mheshimiwa spika tuwasaidie wale wasioota ndoto usiku kwa kuwashauri kuweka mbolea chini ya mito yao.
 

Gombea 2020 una kura yangu.
 
Bunge lipitishe kodi Kwa kila ndoto anayo ota mtu mwenye miaka +18
 
Kama nitabahatika kuwepo bungeni hoja zako zote mheshimiwa nitaziunga mkono zote isipokuwa hoja No.2 haija faida ya moja kwa moja kwa walalahoi.
Huo mwaka nomba mbunge Livingstone Lusinde (kibajaji) awe raisi na mbunge msukuma awe waziri mkuu itapendeza Zaidi
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…