Ubunifu kwa kutumia mianzi

Napenda sana vitu kama hivi.

Kuna jamaa mmoja Arusha anaitwa Thomas, ni mbunifu mzuri sana wa hivi vitu.
 
Ubunifu mengine ni mianzi kitumika kama bakora mashuleni, usiombee ukapigea na mwanzi mbichi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…