Ubunifu: mapambo mbalimbali

Mshana Jr siku hizi umepatwa na nini?

Kuna fisi kapatikana kanda ya ziwa ana number plate N7 ila sikuoni kuanzisha hata uzi katika moja na mbili kuhusu mambo yetu yaleee!!!

siku hizi ni wewe na mapambo, mapambo na wewe, au umetekwa na shemeji? anatumia I'd yako kutupostia mapambo.

Anzisha uzi kuhusu ile operation ya fisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…